Shaukatali Hussein ni kijana mwenye ari ya kutaka kuleta mapinduzi katika sekta ya usafiri kwa kutengeneza mifano (prototype) ya magari au “bajaji” na pikipiki zinazotumia nishati ya umeme badala ya mafuta.
Hussein ameamua kuwekeza katika teknolojia hii ambayo bado jamii...