Arusha. Jukwaa la wanasayansi vijana limeanzishwa ili kuendeleza ubunifu wa kisayansi na kiteknolojia na kuhimiza maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
STEMi-Africa imeanzishwa na wanasayansi vijana pamoja na wanafunzi kutoka nchi 12 za Afrika na itafanya kazi chini ya ulezi wa...