Dar es Salaam. Wanasayansi nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto katika kutafsiri tafiti wanazozifanya na kuziwasilisha kwa lugha rahisi kwa jamii, hususani kupitia vyombo vya habari. Hivyo, wameshauriwa kuwekeza katika kushirikiana kwa ukaribu na waandishi wa habari na kuongeza bidii...