- Tangazo -
Home Maoni ya MwanaSayansi

Maoni ya MwanaSayansi

Dunia bado inaendelea kushuhudia madhara ya  mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya korona (UVIKO-19). Kwa mujibu wa takwimu za shirika la afya duniani, watu takribani milioni 104  wameambukizwa na milioni 2.3 wamepoteza maisha tangu ugonjwa ulipotangazwa China mwaka mmoja...
Kuna uhitaji wa haraka wa mkakati wa tiba za ugonjwa wa sikoseli (selimundu) barani Africa, hatahivyo, hapa nchini Tanzania kuna mambo kadhaa yakujifunza kuhusu juhudi za uwekezaji katika mapambano dhidi ya ugonjwa huu. Sikoseli ni ugonjwa unaosababisha seli nyekundu za...
Katika nyakati hizi ambazo mlipuko wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (uliopewa jina la COVID-19) unazidi kuleta wasiwasi miongoni mwa jamii duniani kote, ni muhimu kuzingatia taarifa zenye ukweli wa kisayansi kuhusu virusi hivyo na njia sahihi za...
Kwa kipindi cha zaidi ya miaka 20 kumekuwa na jitihada za pamoja barani Afrika katika kukabiliana na ugonjwa wa siko seli. Jambo lenye kuleta matumaini ni kwamba, jitihada hizi zimeanza kuonyesha mafanikio. Kwa upande mwingine, kuna changamoto katika maeneo manne. Changamoto ya kwanza ni uwepo wa maeneo machache ya...
Je umeshawahi kujiuliza ni kitu gani hufanya wewe kuwa na ufanano wa wazazi wako? Umewahi kujiuliza ni kwa kiasi gani unafahamu kuhusu mlolongo wa uzao kwenye familia yenu? Je kuna matatizo ya kiafya yanayotembea ndani ya familia kutoka kizazi...
Mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19) duniani na hususani barani Afrika, umeleta changamoto nyingi kwenye sekta ya elimu kutokana na zuio la mikusanyiko ya watu.   Dunia imelazimika kugeukia njia za digitali ili kuendeleza shughuli za mwasiliano na...
Tuanze na maswali 7 ya msingi kuhusu tafiti na uandishi wa habari Tanzania, hasa kwa kuzingatia mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19) katika nchi 223 duniani, ikiwemo Tanzania. Je! Kila utafiti uliofanywa na kuchapishwa katika majarida ya...
Ilikuwa mchana, baada ya swala adhuhuri, Rehema* na wenziwe waliingia kwenye jengo la kituo cha sayansi Kisosora Tanga wakitoka shule ya jirani. Wote wakiwa wamechafuka kutokana na kucheza mpira baada ya masomo ya darasani, wamebeba vidumu na mifagio. Nilikuwa kwenye...
Huenda wewe ni mmoja kati ya hawa. Ulipata maambukizi ya virusi vya korona na kuugua kwa wiki kadhaa. Ulipata changamoto katika kupumua, homa ikawa juu na kadharika. Kwa bahati nzuri, watoa huduma za afya wakakupigania na ukapata matibabu stahiki,...
Hivi karibuni, habari za wanaume hasa wazee kufariki wakiwa faragha na ‘wapenzi wao’ zimeteka vyombo vya habari nchini. Swala hili pia limekuwa sehemu ya mjadala kwenye mitandao ya kijamii na wengi wakilizungumza kwa mzaha. Hatahivyo, huenda kuna wengi bado wanajiuliza:...