Kuna uhitaji wa haraka wa mkakati wa tiba za ugonjwa wa sikoseli (selimundu) barani Africa, hatahivyo, hapa nchini Tanzania kuna mambo kadhaa yakujifunza kuhusu juhudi za uwekezaji katika mapambano dhidi ya ugonjwa huu.
Sikoseli ni ugonjwa unaosababisha seli nyekundu za...
Sayansi ya vinasaba (DNA) inazidi kupanuka. Kadri maarifa yanavyoongezeka katika sayansi hii, magonjwa ya kurithi ambayo wanasayansi au jamii walidhani ni ‘magonjwa magumu kueleweka’ sasa yanaweza kutambuliwa kwa ufasaha na kutibiwa katika muda muafaka. Lakini pamoja na hayo, kuna...
Kwa kipindi cha zaidi ya miaka 20 kumekuwa na jitihada za pamoja barani Afrika katika kukabiliana na ugonjwa wa siko seli. Jambo lenye kuleta matumaini ni kwamba, jitihada hizi zimeanza kuonyesha mafanikio.
Kwa upande mwingine, kuna changamoto katika maeneo manne. Changamoto ya kwanza ni uwepo wa maeneo machache ya...
Tuanze na maswali 7 ya msingi kuhusu tafiti na uandishi wa habari Tanzania, hasa kwa kuzingatia mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19) katika nchi 223 duniani, ikiwemo Tanzania.
Je! Kila utafiti uliofanywa na kuchapishwa katika majarida ya...
Katika nyakati hizi ambazo mlipuko wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (uliopewa jina la COVID-19) unazidi kuleta wasiwasi miongoni mwa jamii duniani kote, ni muhimu kuzingatia taarifa zenye ukweli wa kisayansi kuhusu virusi hivyo na njia sahihi za...
Hivi karibuni, habari za wanaume hasa wazee kufariki wakiwa faragha na ‘wapenzi wao’ zimeteka vyombo vya habari nchini. Swala hili pia limekuwa sehemu ya mjadala kwenye mitandao ya kijamii na wengi wakilizungumza kwa mzaha.
Hatahivyo, huenda kuna wengi bado wanajiuliza:...
Kama uko katika mazingira yanayokuweka kwenye hatari ya kupata maambukizi ya vimelea, vikiwemo virusi vya korona au hata bakteria, silaha yako ya kwanza ni kujiweka salama kwa kuzingatia kanuni za afya. Vaa barakoa, nawa mikono kwa sabuni na maji...
Mlipuko wa Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19) duniani na hususani barani Afrika, umeleta changamoto nyingi kwenye sekta ya elimu kutokana na zuio la mikusanyiko ya watu. Dunia imelazimika kugeukia njia za digitali ili kuendeleza shughuli za mwasiliano na...
Ilikuwa mchana, baada ya swala adhuhuri, Rehema* na wenziwe waliingia kwenye jengo la kituo cha sayansi Kisosora Tanga wakitoka shule ya jirani. Wote wakiwa wamechafuka kutokana na kucheza mpira baada ya masomo ya darasani, wamebeba vidumu na mifagio.
Nilikuwa kwenye...
Huenda wewe ni mmoja kati ya hawa. Ulipata maambukizi ya virusi vya korona na kuugua kwa wiki kadhaa. Ulipata changamoto katika kupumua, homa ikawa juu na kadharika. Kwa bahati nzuri, watoa huduma za afya wakakupigania na ukapata matibabu stahiki,...