- Tangazo -
Dar es Salaam. Mbu wanaosambaza vimelea vya ugonjwa wa malaria hupendelea kujificha na kupumzika katika maeneo yasiyofikiwa na dawa ya kuua wadudu wakati wa upuliziaji ndani ya nyumba, utafiti umebaini. Zaidi ya asilimia 93 ya Watanzania wanaishi katika maeneo ambayo...
Je, wewe ni miongoni mwa watu wanaoogopa sindano hususani wakati wa kuchomwa chanjo? Huenda unatafuta kujua ni namna gani utaweza kukabiliana na hisia unazopata juu ya maumivu ya sindano wakati wa kupata chanjo au pre pain kwa lugha ya...
Dar es Salaam. Matumizi holela ya dawa za viuavijasumu (antibaotiki) kwa watoto wenye kuhara husababisha madhara zaidi kwa watoto hao, wataalamu nchini Tanzania wamesisitiza, huku wakishauri hatua madhubuti zichukuliwe ili kudhibiti matumizi ya dawa hizo. Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha...
Baraza la Kiswahili la Taifa – BAKITA limechapisha istilahi sanifu za Hali ya Hewa, Ugonjwa wa Virusi vya Korona - UVIKO - 19 na Mazingira, kama sehemu ya mfululizo wa warsha tatu za usanifishaji wa maneno ambazo zilifanyika hivi...
Huenda wewe ni mmoja kati ya hawa. Ulipata maambukizi ya virusi vya korona na kuugua kwa wiki kadhaa. Ulipata changamoto katika kupumua, homa ikawa juu na kadharika. Kwa bahati nzuri, watoa huduma za afya wakakupigania na ukapata matibabu stahiki,...
Sayansi ya vinasaba (DNA) inazidi kupanuka. Kadri maarifa yanavyoongezeka katika sayansi hii, magonjwa ya kurithi ambayo wanasayansi au jamii walidhani ni ‘magonjwa magumu kueleweka’ sasa yanaweza kutambuliwa kwa ufasaha na kutibiwa katika muda muafaka. Lakini pamoja na hayo, kuna...