- Tangazo -
Unaweza kufanya maamuzi sahihi kuhusu chanjo dhidi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19) endapo utatambua tofauti kati ya taarifa potofu na sahihi, wanasayansi wanasema. Kukithiri kwa taarifa potofu kuhusu chanjo ya UVIKO-19, hususani katika mitandao yakijamii kumeibua maswali mengi...
Huenda wewe ni mmoja kati ya hawa. Ulipata maambukizi ya virusi vya korona na kuugua kwa wiki kadhaa. Ulipata changamoto katika kupumua, homa ikawa juu na kadharika. Kwa bahati nzuri, watoa huduma za afya wakakupigania na ukapata matibabu stahiki,...
Baraza la Kiswahili la Taifa – BAKITA limechapisha istilahi sanifu za Hali ya Hewa, Ugonjwa wa Virusi vya Korona - UVIKO - 19 na Mazingira, kama sehemu ya mfululizo wa warsha tatu za usanifishaji wa maneno ambazo zilifanyika hivi...
Sayansi ya vinasaba (DNA) inazidi kupanuka. Kadri maarifa yanavyoongezeka katika sayansi hii, magonjwa ya kurithi ambayo wanasayansi au jamii walidhani ni ‘magonjwa magumu kueleweka’ sasa yanaweza kutambuliwa kwa ufasaha na kutibiwa katika muda muafaka. Lakini pamoja na hayo, kuna...
Dar es Salaam. Matumizi holela ya dawa za viuavijasumu (antibaotiki) kwa watoto wenye kuhara husababisha madhara zaidi kwa watoto hao, wataalamu nchini Tanzania wamesisitiza, huku wakishauri hatua madhubuti zichukuliwe ili kudhibiti matumizi ya dawa hizo. Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha...
Dar es Salaam. Mbu wanaosambaza vimelea vya ugonjwa wa malaria hupendelea kujificha na kupumzika katika maeneo yasiyofikiwa na dawa ya kuua wadudu wakati wa upuliziaji ndani ya nyumba, utafiti umebaini. Zaidi ya asilimia 93 ya Watanzania wanaishi katika maeneo ambayo...