Mwanzo Mwandishi Makala za MwanaSayansi

MwanaSayansi

6 MAKALA 0 MAONI
MwanaSayansi ni chanzo mahususi cha habari, maoni na uchambuzi kuhusu sayansi na teknolojia nchini Tanzania; hasa katika nyanja ya maendeleo. Taarifa zote na maudhui huzingatia sera na taratibu za MedicoPRESS, asasi iliyoanzishwa kwa lengo la kukuza ujuzi wa waandishi wa habari na wanasayansi katika kuwasilisha taarifa za kitabibu na kisayansi kwa jamii kupitia vyombo vya habari.

Tufuate

570FansLike
293FollowersFollow
13SubscribersSubscribe

Makala Mpya

Zilizosomwa Zaidi

Mwelekeo wa Tanzania, Afrika katika upatikanaji wa tiba ya ‘sikoseli’

Kuna uhitaji wa haraka wa mkakati wa tiba za ugonjwa wa sikoseli (selimundu) barani Africa, hatahivyo, hapa nchini Tanzania kuna mambo kadhaa yakujifunza kuhusu...

Umuhimu wa taarifa sahihi nyakati za mlipuko wa Corona

Katika nyakati hizi ambazo mlipuko wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (uliopewa jina la COVID-19) unazidi kuleta wasiwasi miongoni mwa jamii duniani kote,...

Je, wajua kuwa vinasaba au DNA huweza kutumika katika tiba yako?

Sayansi ya vinasaba (DNA) inazidi kupanuka. Kadri maarifa yanavyoongezeka katika sayansi hii, magonjwa ya kurithi ambayo wanasayansi au jamii walidhani ni ‘magonjwa magumu kueleweka’...

Mapambano dhidi ya ugonjwa wa ‘siko seli’ barani Afrika yanahitaji mshikamano

Kwa kipindi cha zaidi ya miaka 20 kumekuwa na jitihada za pamoja barani Afrika katika kukabiliana na ugonjwa wa siko seli. Jambo lenye kuleta matumaini ni kwamba, jitihada hizi zimeanza kuonyesha mafanikio. Kwa...

Matumizi holela ya ‘antibaotiki’ kwa watoto wenye kuhara yadhibitiwe: watafiti

Dar es Salaam. Matumizi holela ya dawa za viuavijasumu (antibaotiki) kwa watoto wenye kuhara husababisha madhara zaidi kwa watoto hao, wataalamu nchini Tanzania wamesisitiza,...